Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiweka sahihi kwenye mpira,mara baada ya kufungua Tamasha la AFED Sports Festival Zanzibar linalofanyika katik
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiweka sahihi kwenye mpira mara baada ya kufungua Tamasha la AFED Sports Festival Zanzibar linalofanyika katika Viwanja vya Maisara Sports Complex na kusema michezo ni nyenzo muhimu na alama ya kuwaunganisha watu wa jamii na mataifa mbalimbali katika kuimarisha ushirikiano, upendo na umoja.