Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uchumi wa Buluu ikiwasilishwa na Mtafiti Mwandamizi Taasisi ya Ungozi Prof.Joseph Semboja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uchumi wa Buluu ikiwasilishwa na Mtafiti Mwandamizi Taasisi ya Ungozi Prof.Joseph Semboja,lililofanyika hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar,(kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Suleiman Hemed Abdulla,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi.Zena Ahmed Said na(kushoto kwa Rais)Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe.Abdalla Hussein Kombo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid