Rais Mwinyi akaribisha uwekezaji wa Kimataifa Zanzibar, baada ya kuzungumza na Mwenyekiti wa Commonwealth Enterprise.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Zanzibar itaendelea kuwakaribisha wawekezaji wengi zaidi, kwani bado ina fursa nyingi za uwekezaji…

Read More

Kila Mwananchi anawajibu wa kutimiza na kudumisha Amani ya Nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa kwa kila Mwananchi kutimiza wajibu wake katika kudumisha Amani.Rais Dkt.…

Read More

Rais Mwinyi ameongoza mazishi ya Ali Ameir Mohamed mwanasiasa mkongwe wa CCM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya aliyekuwa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Ali Ameir…

Read More

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya Marehemu Bibi Siena Mzee Muhammed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya Marehemu Bibi Siena Mzee Muhammed aliyefariki…

Read More