Rais Mwinyi ameongoza Mazishi ya marehemu Abdalla Mwinyi Khamis

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mkoa…

Read More

Rais Mwinyi amesema kasi na uwajibikaji ni funguo za mafanikio katika kuwahudumia Wananchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane Kipindi cha Pili inahitaji kasi ya utekelezaji, uwajibikaji, na usimamizi…

Read More

Rais Mwinyi amesema udhalilishaji ni Janga la Kidunia linalohitaji nguvu ya Pamoja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa vitendo vya udhalilishaji ni janga la kidunia linalohitaji ushirikiano wa wadau wote ili kuhakikisha…

Read More

Mama Mariam Mwinyi amesema Mapambano ya Ukatili wa Kijinsia Unaofanyika Mitandaoni Unahitaji nguvu ya pamoja na Ushirikiano wa Wadau ili kuutokomeza

Mke wa Rais wa Zanzibar ambaye Pia Mwenyekiti na Msarifu wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesema Mapambano ya Ukatili wa Kijinsia Unaofanyika Mitandaoni Unahitaji…

Read More

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Dua Maalum ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na kuliombea Taifa Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Dua Maalum ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na kuliombea…

Read More