Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa kwamba zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka huu 2022 litakwenda vizuri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa kwamba zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka huu 2022 litakwenda vizuri kutokana…
Read More