Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa Minara ya mawasliano ya simu kwa kiasi kikubwa itaiwezesha Zanzibar kuingia katika Teknolojia ya Mawasiliano ya TEHAMA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa Minara ya mawasliano ya simu kwa kiasi kikubwa itaiwezesha Zanzibar kuingia katika Teknolojia…

Read More

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi ameishukuru Jumuiya Health Rockfeller Foundation kutoka nchini Marekani kwa azma yake za kusaidia juhudi za Serikali

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi ameishukuru Jumuiya Health Rockfeller Foundation kutoka nchini Marekani kwa azma yake za kusaidia juhudi za Serikali…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi katika mazungumzo mafupi yaliofanyika Ikulu…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya kiislamu nchini kujipamba kwa tabia njema ili kupata fursa ya kuwa karibu na Mtume Muhammad (SAW) peponi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya kiislamu nchini kujipamba kwa tabia njema ili kupata fursa ya kuwa karibu na Mtume…

Read More

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi amesisitiza umuhimu wa akinamama wa kiislamu nchini kuwatii waume zao pamoja na kutekeleza haki zao

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi amesisitiza umuhimu wa akinamama wa kiislamu nchini kuwatii waume zao pamoja na kutekeleza haki zao katika mambo…

Read More