Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba juhudi za makusudi zitaendelea kuchukuliwa katika kuhakikisha ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi zinatekelezwa ipasavyo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba juhudi za makusudi zitaendelea kuchukuliwa katika kuhakikisha ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na viongozi mbali mbali wa Kitaifa katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitokea nchini Oman.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na viongozi mbali mbali wa Kitaifa katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend cha nchini Norway kujenga Hospitali ya kisasa ya maradhi ya moyo hapa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa uongozi wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend cha nchini Norway kujenga Hospitali ya kisasa…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na waumini wa madhehebu mbali mbali ya dini na kusema tofauti ziliopo kati yao haziwezi kuvunja misingi ya Dini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na waumini wa madhehebu mbali mbali ya dini na kusema tofauti ziliopo…

Read More