Madhehebu ya dini yana mchango mkubwa kwa Serikali katika juhudi za kudumisha amani na utulivu wa Taifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema madhehebu ya dini yana mchango mkubwa kwa Serikali katika juhudi za kudumisha amani na utulivu wa…
Read More