Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akibonyeza kitufe ikiwa ni ishara ya kuyazindua rasmi majengo mapya ya Mahakama za Mikoa na Wilaya Mazizini, Mkoa M
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akibonyeza kitufe ikiwa ni ishara ya kuyazindua rasmi majengo mapya ya Mahakama za Mikoa na Wilaya Mazizini, Mkoa Mjini Magharibi, leo tarehe 8 Septemba 2025.