Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewasisitiza wazazi kuwalinda, kuwasikiliza na kuwa karibu na watoto wao ili kuwakinga na janga la udhalilishaji.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewasisitiza wazazi kuwalinda, kuwasikiliza na kuwa karibu na watoto wao ili kuwakinga na janga la udhalilishaji. Mama Mariam Mwinyi aliyasema hayo…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia Fedha na Utawala Mohammed Nasser Al Wahaibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia Fedha na Utawala Mohammed Nasser Al Wahaibi…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Baraza la Mji Kati kwa kutekeleza kwa vitendo maagizo aliyoyatoa katika ziara yake ya mwaka jana na kueleza jinsi ya Mkoa wa Kusini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Baraza la Mji Kati kwa kutekeleza kwa vitendo maagizo aliyoyatoa katika ziara yake ya mwaka jana na kueleza…

Read More