Dk.Shein ametowa mkono wa polekwa familia ya Marehemu Balozi mstaaf Job Lusinde.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaaf Mhe. John Samuel Malecela, alipofika nyumbani kwa marehemu Balozi Mstaaf Job LusindeUzunguni Jijini Dodoma 10/7/2020 kutowa mkono wa pole kwa familia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwa Marehemu Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma 10/7/2020, (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaaf Mhe. John Samuel Malecela, alipofika nyumbani kwa marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde Uzunguni Jijini Dodoma kwa kutowa mkono wa pole kwa familia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa heshima ya kwa mwili wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpa mkpono wa pole Mke wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lisinde Bi. Sara Lusinde, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Uzunguzi Jijini Dodoma 10/7/2020 kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dodoma cha kumchagua Rais wa Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika kibanda cha kupigia kura ya Mgombea kuteuliwa na CCM kugombea Urais wa Zanzibar . wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma
MWENYEKITI wa CCM Taifa Mhe,.Dkt. John Pombe Magufuli akitete jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, White House Jijini Dodoma wakati wa upigaji wa Kura
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa White House.
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa White House.
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa White House
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa White House.
MWENYEKITI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli na (kulia ) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa CCM Dkt, Bashiru Ally na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula wakiwa katika ukumbi wa Kikao wakiwa wamesimama, baada ya kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikoa cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakati wa kupitisha jina la Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa White House, Wajumbe wakiwa wameinua mikono juu kupitisha jina la mgombea.
ZOEZI la kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar likiongozwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndungai na Mhe.Mizengo Pinda.
WAGOMBEA Urais wa Zanzibar wakishuhudia zoezi la kuhesabu kura baada ya kupigwa na Wajumbe wa Kikao cha Halmashauriu Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wa kwanza Mhe.Shamsi Vuai Nahodha, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed na Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,akiwa katika kibanda cha kupigia kura ya Mgombea kwa ajili ya kuteuliwa na CCM kugombea Urais wa Zanzibar . wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakipiga kura ya kumchagua Mgombea wa CCM katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
WAGOMBEA Urais wa Zanzibar walioingia Tano Bora na Tatu Bora wakifuatila Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma. wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akizungumza katika Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipongezwac na Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
MSHINDI wa uongombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Mhe. Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa baada ya kutangazwa msindiu katika uchaguzi uliuofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa hafla ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, baada ya kumalizika kwa Kikao hicho na kumpata mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Hjafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
Dk.Shein amelihutubia Baraza la Tisa kabla ya kulivunja rasmin.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika hukwani Nje ya Mji wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuanza kwa Mkutano wa uvunjaji wa Baraza la Wawakilishi (kulia kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe. Zuberi Ali Maulid.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar.
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Tanzania.Mhe Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Zanzibar. Mhe. Omar Othman Makungu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati akilihutubia Baraza la Wawakilishi na kulivunja rasmin 20/6/2020,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika Mkutano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi kabla ya kulivunja rasmin leo katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar. hafla hiyo imefanyika 20-6-2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride maalum la Kikosi cha Polisi F.F.U mara baada ya kutoa salamu ya Heshma wakati wa sherehe za kulivunja Baraza 9 la Wawakilishi la Zanzibar zilizofanyika Chukuwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Utekelezaji wa haki za Binaadamu na Utawala Bora Zanzibar ni azma ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Mstaf Mathew Paua Mhina. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9/6/2020, akiwa na Ujumbe wake wa Makamishna wa Tume hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo (kulia kwa Rais) Jaji Mstaaf. Mathew Paua Mhina, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika leo 9/6/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Dk.Shein amewasili Zanzibar akitokea Pemba kwa ziara ya siku 3.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu.