Taarab rasmin kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud alipowazili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi la zamani mnazi mmoja kuhudhuria Taarab rasmin ilioandaliwa na Kikundi cha Taifa katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Taarab rasmin ya kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni
KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Kingi, akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa Taarab rasmin ya kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakifuatilia hafla ya Taarab ya Kikundi cha Taifa cha Taraab kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakiwa katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni wakifuatilia hafla ya Taarabu rasmin inayopingwa na Kikundi cha Taifa Zanzibar kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume, wakiwa katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni wakifuatilia hafla ya Taaran rasmin inayopingwa na Kikundi cha Taifa Zanzibar kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MSANII wa Muziki wa Taarab Zanzibar Profesa Mohammed Elias akiimbi wimbo Wanaulizana wakati wa hafla hiyo ya kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar wakati Mke wa Rais wa Kwanza akitunza Mama Fatma Karume.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi katika Taarab maalum ya Kikundi cha Taifa katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kusherehekea miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MSANII Mkongwe wa muziki wa Taarab Zanzibar Makame Faki akitowa burudani wakati wa hafla hiyo akiimba Wimbo Maalum ulioombwa na wapenzi wa muziki wa Taarab Zanzibar wakati wa hafla hiyo Nampenda kwa Ishara.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mama Fatma Karume wakitunza wakati wa hafla ya Taarab rasmin ya kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Wananch waliohudhuria hafla ya Taarab ya kuadhimisha sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia taarab hiyo iliokuwa ikipigwa na Kikundi cha Taraab cha Taifa cha Zanzibar.
KIKUNDI cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikipiga wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya kuadimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri na Wananchi wakihudhuria hafla ya Taarab rasmin ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakiwa na Kocha wao Mkuu Hemed Suleiman Moroco wakihudhuria hafla ya Taarab rasmin ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
Kilele cha Sherehe ya Mapinduzi Zanzibar January12, 2018
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar akiwa katika msafara maalum wa mapikipiki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea salamu na kupigwa mizinga 21 wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika Viwanja vya Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua bwaride Maalum la maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
BAADHI ya Wananchi na Wageni waalikwa wakihudhuria maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Viwanja vya Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua bwaride Maalum la maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wa Jukwaa Kuu wakisimama wakati wa kutowa salamu na kupigwa mizinga 21 kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
MABALOZI wanaowakilisha Nchini zao Tanzania wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete alipowasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Rais Mstahafu Tanzania Dk. Gharib Bilal wakatia alipowasili kwenye kilele cha sherehe za Mapinduzi Zanzibar kwenye uwanja wa Amani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein Akisaliniana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika viwanja vya Amaan, kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu alipowasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar alipowasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akisamiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete alipowasili katika viwanja vya Amaan, kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume, alipowasili katika Uwanja wa Amaan kuhudhuria hafla ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakati akiwasili katika Viwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samiha Suluhu Hassan akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu alipowasili katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Meya wa Mji wa Zanzibar Mhe Khatib Abdurahaman Khatib wakati akiwasili katika viwanja vya Amaan kuhudhuria sherehe za kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi wa Tanzania wakati akiwasili katika viwanja vya amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Benjamin Mkapa wakati akiwasili katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
Kikosi cha Bendera kikipita na kutowa heshima wakati wa kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
GWARIDE la JWTZ likipita kwa mwendo wa kasi na kutowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.wakati gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
GWARIDE la JWTZ likipita kwa mwendo wa kasi na kutowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.wakati gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
GWARIDE la JWTZ likipita kwa mwendo wa kasi na kutowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.wakati gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MABALOZI wa Nchini mbalimbali wanaowakilisha Nchini zao Tanzania wakifuatilia sherehe za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Amaan Zanzibar.
Dk.Shein amewatunuku Nishani watunukiwa 74
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati ukipingwa Wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo 11-1-2018.kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha na Wawakilishi na Ndugu na Jamaa wa Viongozi marehemu waliofika mbele ya haki wakipokea kwa niaba ya Wazee wao,Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya Watunukiwa wa Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Lt Col. Mstaaf Songoro Abdi Waziri, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Salum Nassor Said (MKWECHE) hfla hiyo ya kukabidhiwa nishani hizo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Abdulsalam Issa Khatib. hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama,wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifaa Maalum Bi. Fatma Said Ali, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Jaji Damiain Z Lubuva, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati ukiinbwa wimbo wa taifa katika hafla ya utoaji wa Nishani iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
.BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Ufunguzi wa barabara ya Jendele-Cheju- Unguja Ukuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Uzinduzi wa Baraza ya Jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib, hafla hiyo imefanyika katika barabara hiyo jendele ikiwa ni shamrashamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 54.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria uizindu wa barabara mpya kutoka jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika eneo la jendele Wilaya ya Kusini Unguja.
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akisoma taarifa ya kitaalamu ya Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu wakati wa ufunguzi wa barabara hiyo ikiwa ni shamrashamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla ya uzinduzi wa barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Jendele hadi Unguja Ukuu, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WANANCHI wa Kijiji cha Jendelea wakishangilia wakati wa uzinduzi wa barabara hiyo wakiwa na Watoto wao wakishiriki katika hafla hiyo.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja Hassan Khatib akitowa neno la shukrani wakati wa hafla ya uzinduzi wa barabara ya Jendele hadi Unguyja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja. ikiwa ni shamra shamra za sherehe za kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WANANCHI na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia katika viwanja vya cheju Mkoa wa Kusini Unguja.
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya cheju Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume wakati wa hafla ya uzinduzi wa barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembea baada ya kuizindua barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu iliojengwa kwa kiwango cha lami, ikiwa ni shamra shamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya cheju Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume, alipowasili katika kijiji cha jendele kwa ajili ya Uzinduzi wa Barabara ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanziba.
Dk.Shein, akitunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha na Wawakilishi na Ndugu na Jamaa wa Viongozi marehemu waliofika mbele ya haki wakipokea kwa niaba ya Wazee wao,Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuki Nishani ya Mapinduzi Viongozi Wenye Sifa Maalum Msanii Maarufu wa Taarab Zanzibar Mwanacha Hassan Kijore, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya Watunukiwa wa Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum, Maulid Salum, hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.