State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMESHIRIKI MKUTANO WA UWT KUMPONGEZA RAIS SAMIA VIWANJA VYA MAISARA

  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa mkutano maalum ulioandaliwa na (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • VIONGOZI Wastaafu wa UWT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • VIONGOZI wa Jumuiya za Chama cha Mapinduzi wakiwemo Wabunge na Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja,wakati wa hafla ya mkutano wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa kumpongeza uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.
  • VIONGOZI Wastafu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na UWT katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • WANACHAMA wa (UWT) wakishangilia wakati wa hafla ya Mkutano Maalum wa kumpogeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) mkutano uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • WAKE Viongozi wakifuatilia Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • VIONGOZI Wastafu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na UWT katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • WAKE Viongozi wakifuatilia Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • WANANCHI wa Zanzibar na Mikoa mengine wakishangilia wakati wa Mkutano ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja hivyo lililofanyika leo.20-11-2021 Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar KhalfanI wakifuatilia mkutano wa kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI SALA YA IJUMAA MASJID ARAFU NA KUTOWA MKONO WA POLE KWA RAIS MSTAAF DK. SHEIN

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Bi Tereza Olbam Ali, alipofika nyumbani kwake miembeni kumtembelea na kumjulia hali yake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja kumpa mkono wa pole kwa kufiwa na kaka yake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Salum Maridhia (hayupo pichani) akisoma dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja alipowasili kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 19-11-2021
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

Uzinduzi wa Polisi Utalii na Diplomasia.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed,Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mkuu Na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Mohammed Ahmed Said (katikati) na Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa, baada ya kukizindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kabla ya kukizindua rasmi kikosi hicho hafla iliyofanyika.
  • Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia wakitoa salamu ya Heshma ya Gwaride rasmi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipofika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kukizindua kikosi hicho.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake kwa Wadau wa Utalii, Wananchi na Waalikwa mbali mbali wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Lela Mohammed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Wadau wa Utalii na waalikwa wengine na Maaskari wa Utalii wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama pamoja na Viongozi wengine wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Wadau wa Utalii na waalikwa wengine na Maaskari wa Utalii wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Wageni na Viongozi mbali mbali wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi waSheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuzindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia ambacho kimejumuisha Vikosi vya Ulinzi na Usalama
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kabla ya kuzindua rasmi hafla iliyofanyika.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMELIFUNGUA JENGO LA HOSPITALI YA MARADHI YA AKILI KIDONGO CHEKUNDU ZANZIBAR.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mfadhili wa Hospitali ya Maradhi ya Akili Kidongochekundu Bw. Trond Mohn akiwa na mkewe, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa majengo ya Hospitali hiyo
  • MBUNGE wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe.Ali Hassan Omar akiwa na Wananchi wa Jimbo lake wakihudhuria hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Hospitali ya Maradhi ya Akili Kidongochekundu Jijini Zanzibar iliyojengwa kwa ufadhili wa Chuo Kikuu cha Haukeland Nchini Norway na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

UZINDUZI WA TAWI LA BENKI YA CRDB MICHENZANI NA HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall katika Ukumbi wa Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk Bw.Al-Majid Mussa Nsekela akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya CRDB Benki Bw Ally Laay.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall katika Ukumbi wa Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja.
  • Baadhi ya waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall,wakimsikiliza mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ukumbi wa Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akipokea cheti cha kupongezi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk Bw.Al-Majid Mussa Nsekela (kulia)kwa kutimiza mwaka mmoja wa Uongozi wake wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Benki Bw Ally Laay
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea picha inayosomeka Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michenzani na huduma za Islamic Banking zimezinduliwa rasmi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk Bw.Al-Majid Mussa Nsekela hafla iliyofayila leo katika Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Michenzani Mall Jijini Zanzibar kufungua tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking