State House Blog

Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni nha Michezo imempongeza Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya kupongezwa kwake kutimiza mwaka mmoja wa Awamu ya Nane na iliyotayarishwa na Wizara ya Habari. Vijana Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. tabia maulid Mwita katika hafla ya kupongezwa kwake kutimiza mwaka mmoja wa Awamu ya Nane hafla hoyo iliyotayarishwa na Wizara na kufanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimakabidhi zawadi Mwakilishi wa Kampuni ya Golden Tulip Hassan Raza kutokana na michango ya kampuni hizo wakati wa hafla ya kupongezwa Rais kwa kutimiza mwaka mmoja wa Awamu wa Nane katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja
  • Mawaziri wa Wizara mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakichukua Chakula katika hafla ya Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari. Vijana Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja.
  • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kutimia kwa Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana ,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo wakichukua chakula kama wanavyoonekana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akibonyeza kompyuta kama ishara ya kuzindua Filamu yaMa fanikio ya mwaka Mmoja wa Uongozi Awamu ya Nane katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo ambayo imetayarishwa na Waziri wa Habari.Vijana ,Utamaduni na Michezo Zanzibar.
  • Waziri wa Habari. Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita alipokuwa akitoa maelezo mafupi na kumakaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kuzindua Filamu ya Mafanikio ya mwaka Mmoja wa Uongozi Awamu ya Nane katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Marium Mwinyi(wa pili kulia)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika katika hafla ya kupongezwa Rais kwa kutimia kwa Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Darban Afrika Kusini

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mwenyeji wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Mhe.Mashego Dlamini, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Shaka Jijini Darban Afrika Kusini,kuhudhuria Mkutano wa Ufungfuzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika,utakaofanyika kesho 15-11-2021 Jijini Darban.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mwenyeji wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Mhe.Mashego Dlamini, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Shaka Jijini Darban Afrika Kusini,kuhudhuria Mkutano wa Ufungfuzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika,utakaofanyika kesho 15-11-2021 Jijini Darban

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Mhe.Mashego Dlamini,alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Shaka Darban Afrika Kusini, kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 15/11/2021 Jijini Darban Afrika Kusini

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Sala ya Ijumaa

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na Waumini na Wananchi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (kushoto) baada ya sala ya Ijumaa masjid Fatma Kibanda Hatari,kwa Sheikh Mohamed Ali Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akiwasalimia leo baada ya Sala ya Ijumaa masjid Fatma Kibanda Hatari,kwa Sheikh Mohamed Ali Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (hayupo pichani) baada ya sala ya Ijumaa katika Masjid Fatma Kibanda Hatari,kwa Sheikh Mohamed Ali, Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu Za Serikali Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.Dkt. Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali, wakifuatilia Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt.Othman Abass Ali.(hayupo pichani) akiwasilisha ripoti hiyo, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali akizungumza na kuwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/11/2021 na kuhudhuriwa na Mawaziri na Makatibu Wakuu.
  • MAKATIBU Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt.Othman Abass Ali.(hayupo pichani) akiwasilisha ripoti hiyo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais Dk.Mwinyi amekutana na Uongozi wa Amref Health Afrika.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" wakati Ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" wakati ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" Dk.Florence Temu (katikati) na Mkuu wa Miradi wa Dr. Aisa Muya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" Dk.Florence Temu (wapili kulia) alipokuwa akielezea masuala mbali mbali akiwa na Ujumbe wake aliofuatana nao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea cheti maalum cha pongezi kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania" Dk.Florence Temu wakati Uongozi wa Shirika hilo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.