State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Juu ya “Legiond ” Honner” Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivishwa Tuzo aliyotunukiwa na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” akivishwa na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe Frederic Clavier, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Frederic Clavier, baada ya kumaliza mazungumzo na kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, kwa Mchango wake mkubwa na ushirikiano wake alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Frederic Clavier akizungumza kabla ya kumvisha Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanual Macron.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizunguma na kutowa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Emmanual Macron kwa heshima aliyompa ya kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER “ kwa mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizunguma na kutowa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Emmanual Macron kwa heshima aliyompa ya kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER “ kwa mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumvisha Tuzo ya juu ya Heshima inayofahamika kama “LEGION d” HONNER “ Tuzo hiyo iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, kutokana na Mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Frederic Clavier (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Juu ya “LEGION d” HONNER” iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Frederic Clavier, baada ya kuwasili katika ukumbi kwa mazungumzo na kumkabidhi Tuzo ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair,katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimshindikiza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki sala Msikiti wa Wireless Kikwajun Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Wasanii wa Bongo Flave Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu, wakiwa Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21/7/2021 katika Uwanja wa Mao Zeding.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wasanii wa Muziki wa Bongo Flevawalipo fika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva ukiongozwa na Mwanamuzi Nandy, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,wakiwa Zanzibar katika Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21/7/2021. Katika uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu, wakiwa Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21/7/2021 katika Uwanja wa Mao Zeding.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva Faustina Charles (Nandy) akizungumza wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, akiwa Zanzibar katika onesho lake la Tamasha la Muziki la Nandy lililofanyika jana usiku 21-7-2021 katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amakutana na kuzungumza na Uongozi wa Ziff Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya malengo la Tamasha hilo la Ziff, linalotarajiwa kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe Jijini Zanzibar 21-7-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof. Martin Mhando akitowa maelezo ya Malengo na Dhamira ya Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho 21/7/2021 katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya malengo la Tamasha hilo la Ziff, linalotarajiwa kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe Jijini Zanzibar 21-7-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando,Ikulu Zanzibar.