State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Mashindano ya Mbio za Marathon 2021 Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga bastola juu kuzindua Mashindano ya Riadha ya Kimataifa ya Zanzibar International Marathon ya kilomita 5, yalioazia katika eneo la Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon za Kilomita 5 zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB Ndg. Benedicto Baragomwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, wakishiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Zanzibar International Marathon.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon za Kilomita 5 zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB Ndg. Benedicto Baragomwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, wakishiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Zanzibar International Marathon
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon za Kilomita 5 zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Kaimu Afisa Mkuu Ukaguzi wa Ndani Benki ya NMB Ndg. Benedicto Baragomwa, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman.Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • BALOZI Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng akishiriki mbio za Zanzibar International Marathon za Kilimomita 5 (kulia kwake) na Mdau wa Michezo Zanzibar Raza Lee na (kushoto kwake) Salama Jabir Balozi wa Zanzibar International Marathon wakishiriki mbio hizo zilizoazia katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
  • Wanariadha wakichuana katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 05 yaliyoanzia viwanja vya Ngomekongwe Mji mkongwe leo na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimvalisha nishani Nd,Panuel Mkumbo kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanaume katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 21 aliyetumia Saa 1:04:48 yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimkabidhi shada la mauwa Nd,Pamela Chepkoech kutoka Nchini Kenya akiwa mshindi wa kwanza Wanawake wa mashindano International Marathon ya kilomita 21
  • Baadhi ya Washiri wa mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) kutoka Wasafi Media wakiwa ni miongoni mwa Wanariadha walioshiriki mbio hizo leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar, ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ndio alikuwa mgeni Rasmin katika mashindano hayo.
  • Watoto hawa Pichani wakishiriki riadha kilomita 400 sambamba na mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) Kilomitra 21 katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
  • Wanariadha katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 21 wakijitayarisha kuanza Mbio hizo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar,ambapo mgeni rasmin alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,Mama Marium Mwinyi na Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe.Othman Masoud Othman (katikati) wamejumuika na wanamishezo mbali mbali katika mashindano ya Kimataifa ya Riadha (Zanzibar International Marathon) ya kilomita 05 yaliyoanzia leo katika Viwanja vya Ngomekongwe,Mji Mkongwe na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Riadha ya Kimataifa ya Zanzibar International Marathon kwa upande wa Wanaume Panuel Mkungo kutoka Nchini Kenya, kwa kuibuka mshindi wa kwanza wa Kilomita 21, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mbio za Zanzibar International Marathon Kilomita 21.

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe baada ya kujitambulisha na mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe alipofika Ikulu Jijini Zanzibar mazungumzo pamoja na kujitambulisha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania Mhe.Yonas Yosef Sanbe alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akabidhiwa Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais) akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais) akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd, Mikidadi Mbarouk Mzee kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd. Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd,Aboud Hassan Mwinyi kuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,Anayeshuhulikia (Fedha na Mipango),katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd.Issa Mahfoudh Haji kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Nd.Issa Mahfoudh Haji akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Dk.Habiba Hassan Omar akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na Viongozi wa Serikali na Dini wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo.
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatlia hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa SMZ,wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Nd,Mikidadi Mbarouk Mzee akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk. Habiba Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Nd,Aboud Hassan Mwinyi akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango, Anayeshuhulikia(Fedha na Mipango),katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na Viongozi wa Serikali na Dini wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali waliokaa na waliosimama ni Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu baada ya kumaliza kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu leo 12-7-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Mikidadi Mbarouk Mzee, kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Aboud Hassan Mwinyi, kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango Zanzibar Anayeshughulikia (Fedha na Mipango) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Habiba Hassan Omar, kuwa Katibu Mkuu Ofisi Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar,hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki kabla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, aliowateua hivi karibuni na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu wakifuatilia kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafamilia wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu, walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais Dk.Hussein Mwinyi Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Cheti Maalum cha Hongera kwa nanma ya kazi aliyoifanya kwa muda mfupi tokea kuchaguliwa kwake, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa akikabidhi cheti hicho kwa niaba ya Shehia ya BUBUBU , mara baada ya Mkutano wa Majumuisho ya ziara yeke ya Mkoa wa Mjini Mgharibi, hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yeke aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Mgharibi kwa kutembelea miradi ya maendeleo mkutano huo umefanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Mgharibi kwa kutembelea miradi ya maendeleo, mkutano huo umefanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Mkoa wa Mjini Mgharibi katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aliopokuwa akitoa Hutuba yake katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara aliyoifanya katika kutembelea miradi ya mbali mbali ya maendeleo kwa Mkoa wa Mjini Magharibi ,hafla ya mkutano huo imefanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Mkoa wa Mjini Mgharibi katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aliyoifanya Mkoa wa Mjini Mgharibi hafla iliyofanyika katika Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar alipofika katika Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Mkoa wa Mjini Mgharibi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti cha Shukrani cha Kumpongeza kwa Kazi Nzuri aliyoifanya katika kipindi kifupi katika Uongozi wake, kilichotolewa na Shehia ya Bububu Wilaya ya Magharibi “A “Unguja,akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Taasisi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Viongozi wa Serikali, katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa huo, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wabunge na Viongozi mbalimbali wa Taasisi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein AlI Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa,kuzungumza na Viongozi wa Serikali na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa huo.