State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Wakurugenzi wa Makampuni binafsi Tanzania Ikulu Leo

RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mhe.Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Mkurugenzi wa Mwalimu Nyerere Foundation Ikulu. Zanzibar

Mkutano wa Mwaka wa Mapitio ya Program ya Huduma za Jamii kwa Wazee (Afford)