Rais wa Zanzibar Dk Mwinyi ametembelea soko la Kimataifa la Dagaa Geita
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Kombe kwa Mabingwa wa Mapinduzi Cup Yanga Afrika baada ya kuifunga Simba
Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Aamezungumza na Mwakilishi wa Unesco Tanzania
Kilele cha Sherehe za 57 Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara Benki ya NBC Ndg,Obedy Ngavatula (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Foundation Bi.Tully Esther Mwambapa (kushoto) akitoa maelezo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan