State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amezindua Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kadi yake ya Uanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ya (JUWAZA) Ndg. Masururu Saadun Ferouz na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Cheti cha Shukrani na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Ndg.Masururu Saadun Ferouz, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar , kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico.
  • WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia na kuzindua Jumuiya hiyo, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakiul Kikwajuni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mabaraza ya Jumuiya wa Wastaaf na Wazee Zanzibar, baada ya kumalizika ckwa hafla hiyo ya uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakiul Kikwajuni Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) wakiitikia dua ikisoma na Mwanachama wa Jumuiya hiyo Sheikh Gharib Bakari Seif kutoka Kijiji cha Gana Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
  • MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Ndg.Masururu Saadun Ferouz akizungumza na kutowa neno la shukrani kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa meza kuu wakiitikia dua ikisomwa na Sheikg Gharib Bakari Seif kutoka Kijiji cha Gan a Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar wakifuatilia hutba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Cheti cha Shukrani alichokabidhiwa na Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na kushoto Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar Ndg. Masururu Saadun Ferouz.
  • BAADHI ya Wanachama wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar wakifuatilia hutba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa Uzinduzi wa Jumuiya yao uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mmoja wa Wazee wa Jumuiya hiyo Bi. Hadia Suleiman kutoka Kijiji cha Dunga Bweni Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika hafla hiyo ya Uzinduzi wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jumuiya ya Wastaaf na Wazee Zanzibar (JUWAZA) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

Umoja wa Mataifa (UN) umeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia Rais akiwa na ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimiana.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini

Dk.Ali Mohamed Shein amemuapisha Bi.Khadija Khamis Rajab.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi. Khadija Khamis Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda baada ya kumteuwa rasmi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla kuapishwa Bi.Khadija Khamis Rajab iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

Dk.Magufuli amekabidhiwa Uwenyekiti wa Sadc.

  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wajamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Maraius Wastaaf wa Tanzania na Zanzibar wa kwanza kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Herbert Kijazi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe,Dkt. Amani Karume,Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaaf waTanzania. Mhe.Benjamin Mkapa, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Namibia Mhe. Dkt. Hage Geingob Mwenyekiti wa SADC, anayemaliza muda wake akihutubia katika mkutano wa 39 wa SADC kabla ya kumkabidhi Mwenyekiti Mpya wa SADC Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Magufuli, uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • MARAIS wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC wakiwa wamesimama wakatri wa kupigwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC uluiofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamerd Shein Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na viongozi wengine mbali mbali wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa SADC katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,wakati wa ufunguzi wa mkutano huo na kukabidhiwa Uwenyekiti wa SADC.
  • VIONGOZI wa Serikali kutoka kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman MakunguRais Mstaa wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Amani Karume, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi wa Tanzania Balozi John Kijazi, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza mkutano wa 39 wa SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Baraza la Eld el-Hajj

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni Wilaya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni Wilaya Magharibi (A) Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika Baraza la EID- EL-HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah.
  • Baadhi ya Viongozi na Mawaziri wanawake pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la Kikosi cha Polisi cha FFU mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni kuhudhuria sherehe ya Baraza la EID- EL- HAJJ 2019.
  • Baadhi ya Viongozi pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID-EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama samia Suluhu Hassan pamoja Viongozi wengine wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kuwahutubia wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi ("A") Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Miongoni mwa Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wakiwa katika Sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika viwan ja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
  • Askari wa Kikosi cha Polisi FFU Makamo Makuu Zanzibar wakitoa salamu ya Heshma ya gwaride maalum kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika leo katika viwan ja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi