Dk. Shein ameongoza waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid el hajj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mshauri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Abdalla Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Kampasi ya Bertras, kuhudhuria Sala ya Eid El Hajj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk.Ali Mohamed Shein,akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja Chuo Cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertars Wilaya ya Magharibi A Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Hajj katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi Unguyja ikisomwa na Sheikh Tawaha Huein Twaha baada ya kumalizika kwa Sala hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wa Dini na Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Kadhi Dhamana wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Sheikh Othman Haji Chum
Kadhi dhamana wa Wiliya ya Magharibi "A" Unguja Sheikh Othman Haji Chum akisoma dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Magharibi A Unguja katika ukumbi wa Ikulu Ndogio Kibweni Zanzibar Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua ikisoma na Kadhi wa Rufaa Kisiwani Pemba Sheikh Daud Khamis Salum, baada ya kumalizika hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Kibweni
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid El Hajj katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja
Dk.Shein amekutana na Mwakilishi wa Unesco.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha (kushoto) Mathias F.H.Luhanya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (kushoto) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso Dos Santos (kushoto) baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha
Dk.Shein amefunga Mkutano wa wiki ya nne ya viwanda ya Sadc.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akicheza bao wakati atembelelea maonesho ya Wiki ya Nne ya Viwanda ya SADC katika viwanja vya Ukumbi wa Julius Nyerere.Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Bishara ya Shirika la Air Tanzania Ndg. Patrick .W. Ndekama, alipokuwa akitembelea banda la maonesho la Air Tanzania katika viwanja vya Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji wa maonesho hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa wa ZSTC Ndg. Issa Hamad Ramadhani alipotembelea maonesho ya Wiki ya Nne ya Viwanda ya SADC Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa TRC Bi. Jamila Mbarouk alipotembelea banda la maonesho katika viwanja vya Kulius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
KATIBU Mkuu wa SADC Mhe. Dr.Stergomena Tax, wakati wa ufungajin wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Maonesho ya Viwanda ya SADC leo Jijini Dar es Salaam.yaliofanyika katika ukumbi wa Juluis Nyerere.
Kaimu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa mkutano wa Ufungaji wa Wiki ya Nne ya Maonesho ya Viwanda ya SADC Jijini Dares Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na SADC WAakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Dk.Shein amefungua maonyesho ya Kilimo Kizimbani Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabihi Ufungo wa Treka Mwenyekiti wa Ushirika wa Kilimo Mkombozi cha Mkokotoni Ndg. Haji Mashaka Omar,wakati wa hafla ya Maonesho ya Kilimo yaliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi"A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika moja ya Trekta lililotolewa Mkopo na Benki ya TAD kwa Vikundi vya Ushirika Zanzibar, wakati wa hafla ya maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi"A" Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwanafunzu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Ndg.Faki Ali Faki na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia wakati akivuna mboga aina ya spinachi katika kitalu cha maoneshi ya JKU , kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Alim Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Wilaya Magharibi "A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi wa Nyumba za Udogo (Hydraform) Bi. Jamila Abeid Saleh, wakati akitembelea banda la maonesho la kampuni hiyo katika viwanja vya maonesho kizimbani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akivuna mboga aina ya zukini katika kitalu cha Chuo cha Mafunzo wakati wa ufunguzi wa hafla ya maonesho ya Kilimo yanayofanyika katika viwanja vya kizimbani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali,akitowa maelezo ya ufugaji wa kuku wa kisasa, wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Kizimbani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Zahran Kassim El-Kharousy, wakati akitembelea banda la kampuni hiyo akitowa maelezo ya jokofu la kuhifadhia samaki.
Dk.Shein amewasili Zanzibar akitokea nchini Uingereza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza kwa ziara Maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,, akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kumpokea akitokea Nchini Uingereza kwa ziara Maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, alipowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza, alipokuwa na ziara Maalum.