Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua semina ya siku moja ya Utumishi wa Umma Zanzibar.
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia na kuifungua semina hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Cheti cha Utumisho Bora na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina hiyo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Semina ya Maadhimisho ya Siku ya Utumishi Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Dk.Shein amefungua Mkutano Mkuu wa nne wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa Meza Kuu wakiimba wimbo wa Solidariti Foreva wakati wa ufunguzi wa Mkutanio Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Wageni Waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo ya Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Wajumbe na Makatibu Wakuu wakishikana mikono wakati wa kuimba wimbo wa Solidariti Foreva katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Risara ya Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, kutoka kwa Katibu Mkuu wa ZATUC.Ndg. Khamis Mwinyi na kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kulia Mwenyekiti wa ZATUC Ndg. Ali Mwalimu
WAALIKWA wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MWAKILISHI wa ILO Ndg. Mohammed Mwamadzingo, akitowa salamu za ILO wakati wa fhafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Badulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MWENYEKITI wa TUCTA Dr.Yahya Msingwa, akitowa salamu za TUCTA wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirkisho la Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa AbdulWakili Kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudlini Castico akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia hafla hiyo, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Dk.Shein amekagua Vifaa vya Idara ya Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea eneo la Kituo cha UUB Kibwele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kituo cha Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Kibele Wilaya ya Kati Unguja kuangalia Vifaa Vipya vua Ujenzi wa Barabara Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea eneo la Kituo cha UUB Kibwele Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya Mtambo Mpya wa kupikia lami kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi, akitembelea Vifaa vipya vya Idara hiyo katika Kituo chao Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe.Dr. Sira Ubwa Mwamboya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamerd Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa ziara yake kutembelea Kituo cha Idara ya UUB Kibele Wilaya ya Kati Unguja
Dk.Shein amehudhuria maadhimisho ya miaka 107 ya Skauti katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
Rais wa ZAnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Skauti kushoto Halima Ali Makame na kulia Lutfia Juma Ali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar kuhudhuria
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililotayarishwa kwa ajili ya kuyapokea maandamano ya Vijana wa Skauti Tanzania katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar kushoto Mkuu wa Skauti Tanzania Mhe.Mwatumu Mahiza na Kiongozi wa Skauti Bi. Amina Clement Edward na kulia Makamu wa Rais wa Chama cha Skauti na Waziri wa Elimu na Mafuzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea gwaride Maalum la Vijana wa Skauti Tanzania kuadhimisha Miaka 107 zilizofanyika katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa maadhimisho ya Miaka 1-7 ya Skauti Tanzania ziulizofanyika katika viwanja vya Maisara Suluiman, akimsikiliza Kijana Jaffar Mohammed, akitowa maelezo ya michuro ya ramani ya Tanzania
MKUU wa Skauti Tanzania Mhe Mwamtumu Mahiza akizungumza na kutowa maelezo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
WAGENI Waalikwa na Vijana wa Skauti Tanzania wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania.
MAKAMU wa Rais wa Chama Cha Skauti Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ,akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuhutubia hadhara hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Sakauti Tanzania zilizofanyika Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberia Ali Maulid, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed GharibBilal na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hayuko pichani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
VIJANA wa Skauti wakitowa heshima wakati ukipigwa wimbo wa Taifa
Vijana wa Skauti Tanzania wakipita kwa ukakamavu kwa mgeni Raism Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Ndg. Alois Zengwe akitowa maelezo ya Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Skauti kutimiza Miaka 107 Tanzania tangu kuazishwa kwake kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Alali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika kataifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimvisha Nishani Mlezi wa Skauti Tanzania Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Sjauti Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Rais Mstaaf wa Tanzania Mlezi wa Skauti Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi baada ya kukakabidhi Nishani Maalum ilioyotewa na Skauti Tannzania, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo Skauti Mkuu Mhe. Mwatumu Mahiza, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti, zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo nma Nishani Makamu wa Rais wa Chama Cha Skauti Tanzania Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Rais Mstaaf wa Tanzania Mlezi wa Skauti Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi baada ya kukakabidhi Nishani Maalum ilioyotewa na Skauti Tannzania, wakati wa Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo Maalum ya Skauti Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti.
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Tunzo Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti yalioadhimishwa Kitaifa viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hasaan Mwinyi na kulia Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal na kushoto Skauti Mkuu Mhe. Mwatumu Mahiza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali, na Marais Wastaaf na Viongozi na Wawakilishi waliopokea Tunzo kwa niaba, wakiwa katika picha ya kumbukumbu baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya maadhimisho katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
Dk.Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo,kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa CCM Afisi Kuu Zanzibar, alipowasili kuhudhuria Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Hamad Mberwa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kokao cha Kamati Maalu ya CCM Zanzibar
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuongoza Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Afiki Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Pili wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mwalimu Kombo, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar uliofanyikia Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afiri Kuu ya CCM Zanzibar, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kufungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana naMjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo,kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar