Dk.Shein afunga Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Hall Dodoma wakati wa ufungaji wa Mkutano huo baada ya kukamilika kwa taratibu za uchaguzi wa Wajumbe na Mwenyekiti na Makamu wake
Baadhi ya wageni waalikwa wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama wakati mgeni rasmin akiingia katika ukumbi wa mkutano.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazazi anayemaliza muda wake Alhajj Abdallah Kalembo alipowasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kikwete Hall Dodoma.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi anayemaliza muda wake Abdllah Kalembo, wakielekea ukumbi wa mkutano.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama wakiimbi nyimbo ya kumpokea Makamu Mwenyekiti alipowasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya ufungaji.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr.Binilith S.Mahenge.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana alipowasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma kwa ajili ya ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Wazazi Tanzania.
Dk. Shein akiufunga Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM Abrahaman Kinana wakiingia katika ukumbi wa mkutano wa Tisa wa UVCCM. ukumbi wa chuo cha mipando dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tISA WA UVCCM katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango Dodoma wakati akifunga mkutano huo na kutowa nasaha zake kwa Viongozi waliochaguliwa
Wajumbe wa Mkutano Mkuu waUVCCM wakishangilia wakati wa kutangazwa matokeo ya uchaguzi tarehe 11 Dec 2017
Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James akihutubia na kutowa shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma Tarehe 11 Dec 2017
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi wapya wa UVCCM Makamu Mwenyekiti UVCCM Tabia Maulid na katikati Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano Tarehe 11 Dec 2017.
Wageni waalikwa waliowahi kuwa Viongozi wa nafasi mbalimbali katika UVCCM wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufungaji wake uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein akifunga mkutano huo baada ya kumalizika shughuli za uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma Tarehe 11 Dec 2017.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa UVCCM wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kufungwa na kuwapungia mikono Wajumbe wa Mkutano hu Tarehe 11 Dec 2017
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akifurahia picha yenu sura yake baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James, kulia Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana.
Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Chuo cha Mipango.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipowasili katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Chuo cha Mipango.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM,katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, akitowa nasaha zake kwa Wagombea na Wajumbe wa mkutano huo
Mkutano Mkuu wa Tisa wa UWT Kikwete Hall mjini Dodoma
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa mkutano wa Mkuu wa UWT Kikwete Hall mjini Dodoma akiongozana na Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Salama Aboud Talib
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika meza kuu akiwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakishangiria wakati akitangazwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UWT katika ukumbi wa Kikwete Hall
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema katika sherehe ya upokeaji msaada kwa kikundi cha SIRI MOYO
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa hotuba mara baada ya kukabidhi msdaada wa Vyarahani kwa Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.kulia yake ni Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico na kushoto yake ni Mke wa Balozi mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kushoto akiwa pamoja na Mke wa Balozi mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie wakikabidhi msaada wa Vyarahani kwa Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa katika picha ya pamoja na viongozo na Wnaushirika akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.