Dk.Shein amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya pamoja na Naibu Katibu Mkuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah , hafla hiyo imefanyika Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Mwanajuma Majid Abdallah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Mikoa na Naibyu Katibu Mkuu Ikulu
Dk.Shein Ahudhuria Mazishi ya Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar Othman Bakari
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na wakijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar katika Sala ya Kuuombea Mwili wa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar Marehemu Othman Bakari,dua ikisomwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Masjid Shurba kidingochekundu Zanzibar na kuzikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la mareheme Othman Bakari, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar, maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Zanzibar.
RAIS WA ZANZIBAR NA MBLM DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MKOA WA KUSINU UNGUJA
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika meza kuu na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa Kusini Unguja kufungua mkutano huo, kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Msimamizi wa Uchaguzi huo Profesa Makame Mbarawa na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisoma baada ya Vitabu vya Taarifa ya Utendaji ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kukabidhiwa, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Andallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. wakiwa katika ukumbi wa mkutano
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma akijtambulisha kwa Dk.Shein Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Kijarida cha Mahakama Kuu Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha
Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri wamefanya mazungumzo na Dk.Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kum