RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi.
16 Dec 2022
87
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar.