State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na Uongozi Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ikulu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “A History of Zanzibar Media” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa upande wa Zanzibar Bi.Shifaa Hassan, akitowa maelezo ya Machapisho ya Vitabu mbalimbali vinavyotolewa na (MCT) kabla ya kukabidhiwa, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yake na Uongozi wa (MCT) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022 kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yuusuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Ndg. Kajubi Mukajanga, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yuusuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Ndg. Kajubi Mukajanga, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yuusuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Ndg. Kajubi Mukajanga, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya (MCT) Ndg. Yussuf Khamis Yussuf (kulia kwa Rais) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Ndg.Kajubi Mukajanga, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 22-12-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg. Kajubi Mukajanga akisoma Waraka wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania.(MCT) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022, walipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Waraka wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania(MCT) na Katibu Mtendaji wa (MCT) Kajubi Mukajanga,wakati wa mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi.Edda Sanga akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) baada ya kumalizika kwa mazungumzo yake na Uongozi wa (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “Mwongozo wa Vyombo vya Habari wa Kuandika Habari za Watoto” na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu cha “ Training Manual on Gender and the Media”, na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ndg.Yussuf Khamis Yussuf, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 22-12-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia Mahafali ya 20 ya Chuo Cha Zanzibar Univesity (ZU) Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Zanzibar University (ZU) alipowasili katika viwanja Chuo hicho kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar University. Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022, na (kushoto kwac Rais) Chancellor.wa Chuo cha Zanzibar Univesity Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) akitowa maelezo ya kifaa alichobuni kwa ajili ya Utalii wa Baharini kuangalia samaki na matumbawe (Sub Marine Coral Reif Tour) wakati akitembelea maonesho ya kuadhimisha Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliofanyika 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar Univesity (ZU) wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akiwahutubia katika hafla ya Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) yaliyofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar Univesity (ZU) wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akiwahutubia katika hafla ya Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) yaliyofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • WAHITIMU wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) wa Diploma ya Nursing wakila kiapo cha Utii wakati wa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) yaliyofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) yaliyofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) yaliyofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma ratiba na urodha ya majina ya Wahitimu wa Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar University (ZU) wakati wa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja na (kushoto kwa Rais) Chancellor Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika maandamano ya Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar University (ZU) Kibele Wilaya ya Kati Unguja, akielekea katika viwanja vya mahafali hayo leo 21-12-2022 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wahitimu ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliofanyika 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amepongezwa na wauguzi katika Sherehe za miaka miwili ya uongozi wake kutimiza miaka miwili

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata keki maalum ya kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya Uongozi wake,katika sherehe za Wauguzi Zanzibar zilizofanyika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Kutimiza Miaka Miwili ya Uongozi wake,iliyotolewa na Wauguzi Zanzibar akikabidhiwa na Muunguzi Bi. Maryam Rashid Suleiman, wakati wa sherehe za kumpongeza zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja leo 20-12-2022,na (kulia kwa Muunguzi) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka.
  • WAUGUZI Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa sherehe za kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar 20-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa sherehe za kupongezwa zilizoandaliwa na Wauguzi wa Zanzibar kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake zilizofanyika 20-12-2022 katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa sherehe za kupongezwa zilizoandaliwa na Wauguzi wa Zanzibar kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake zilizofanyika 20-12-2022 katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa sherehe za kupongezwa zilizoandaliwa na Wauguzi wa Zanzibar kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake zilizofanyika 20-12-2022 katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar
  • WAUGUZI Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa sherehe za kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Rajab Mohammed Bilal,wakati akitembelea banda la maonyesho la Kitengo cha Macho la Wizara ya Afya Zanzibar , katika viwanja vya Chuo Cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa sherehe za kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya uongozi wake zilizoandaliwa na Wauguzi Zanzibar katika ukumbi wa Chuo hicho Maruhubi leo 20-12-2022, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Ahmed Nassor Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan K.Hafidh B.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi.Rabia Mzee Mataka wa Kitengo cha Shirikishi cha Afya na Uzazi Zanzibar, wakati akitembelea maonesho ya sherehe ya kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake, iliyoandaliwa na Wauguzi Zanzibar,katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Ahmed Nassor Mazrui na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Ramadhan Mikidadi Suleiman wa Kitengo cha Chanjo ya Korona Zanzibar , wakati akitembelea maonesho ya sherehe ya kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake, iliyoandaliwa na Wauguzi Zanzibar,katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Ahmed Nassor Mazrui na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki mazishi ya Marehemu Sheikh Ali R. Mavua yaliyofannyika Kijijini Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika swala ya maiti ya Marehemu Sheikh Ali Rijali katika msikiti wa Ijumaa Bambi ambapo amezikwa katika Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wanafamilia ya Marehemu Sheikh Ali Rijali mara alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Bambi kwa ajili ya kuswalia Mwili wa marehemu huyo aliyefariki na kuzikwa katika Kijiji cha Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika swala ya maiti ya Marehemu Sheikh Ali Rijali katika msikiti wa Ijumaa Bambi ambapo amezikwa katika Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia udongo kama ishara ya kumzika Marehemu Sheikh Ali Rijali alipojumuika na Viongozi,Waislamu na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika maziko ya Sheikh Rijali yaliyofanyika leo Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia udongo kama ishara ya kumzika Marehemu Sheikh Ali Rijali alipojumuika na Viongozi,Waislamu na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika maziko ya Sheikh Rijali yaliyofanyika Kijijini kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini. Unguja.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha “Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa ZNZ

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha "Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati walipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba