Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ametembelea Maonesho ya Wiki ya Sheria Zanzibar Viwanja vya Mapinduzi Square Michezani.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Bw. Onesmo, wakati akitembelea maonesho ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe kisonge Wilaya ya Mjini Unguja
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Zanzibar School of Heath.Hassan Hussein Hassan, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Bi.Mwanaid Mohammed Ali, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023, na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Bi.Mwanaid Mohammed Ali, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja 12-2-2023, na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ameongoza Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa wiki ya Sheria Zanzibar.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimvisha nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanaume Aloice.S.Simbu kutoka JKU,kwa kumaliza mbio hizo kwa muda wa 29:36.69
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zwadi ya fedha na nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanawake Velenti M.Lazaro kutoka JWTZ
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja
WASHIRIKI wa Matembezi ya Marathon Kilomita Tano na Kumi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar wakishiriki katika mazoezi ya viungo ya pamoja katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania na Ujumbe wake Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 11-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na Ujumbe wake baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 11-2-2023

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika 11-2-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu 11-2-2023 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 11-2-2023.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Hussein Mwinyi amefungua Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wafadhili waliojenga Msikiti wa Kilimani Masjid Fatma Ahmad Merdas, alipowasili katika viwanja vya Msikiti huo kwa ajili ya kuufungua na kujumuika na Wananchi kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma Ahmad Merdas baada ya kuufungua rasmin leo 10-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-2-2023, na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Bw.Ahmed Baker na Bw. Ali Albwardy,Wafadhili wa ujenzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuufungua na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika baada ya ufunguzi wa Msikiti huo, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-2-2023, na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Bw.Ahmed Baker na Bw. Ali Albwardy,Wafadhili wa ujenzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja uliofunguliwa leo 10-2-2023 kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza hutuba ya Ibada ya Sala ya Ijumaa akisoma na Hatibu Sheikh. Abdallah Zuberi Maruzuku, kabla ya Sala, iliyofanyika katika Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj.Dkt. Amani Abeid Karume na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na Mfadhili wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Bw.Ali Albwardy na Naibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi
Rais wa Zanzibar Mhe.K.Hussein Mwinyi amezungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw. Marcel Akpovo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake,mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw.Marcel Akpovo akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika Bw. Marcel Akpovo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake,mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-2-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Kanda ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.Bw. Marcel Akpovo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-2-2023