Dkt.Mwinyi, amesema Serikali ina mpango maalum wa ujenzi wa majengo ya Afisi za Serikali, Baraza la Wawakilishi na Mahakama ili kuimarisha uwajibikaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ina mpango maalum wa ujenzi wa majengo ya Afisi za Serikali, Baraza la Wawakilishi na Mahakama…

Read More

Michezo ya Majeshi Tanzania ni kielelezo cha ushirikiano na umoja wa kitaifa wa vyombo vya ulinzi nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Michezo ya Majeshi Tanzania ni kielelezo cha ushirikiano na umoja wa kitaifa wa vyombo vya ulinzi…

Read More

Dkt. Hussein Mwinyi amerejesha fomu za Uteuzi ZEC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM Zanzibar, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amerejesha fomu za uteuzi katika Tume ya Uchaguzi…

Read More

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza viongozi wa dini, wanasiasa, waandishi wa habari na wananchi kupaza sauti kukemea matamko yote yanayoashiria uvunjifu wa amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza viongozi wa dini, wanasiasa, waandishi wa habari na wananchi kupaza sauti kukemea matamko yote…

Read More