Rais Dkt. Mwinyi amesema SMZ kuendelea kuunga mkono juhudi za Chuo Kikuu cha Tanzinia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuunga mkono juhudi za Chuo Kikuu Huria cha Tanzania…

Read More

Rais Dkt amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchi za Kiarabu kuwekeza Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchi za Kiarabu kuwekeza Zanzibar, akibainisha kuwa Zanzibar…

Read More

Dkt. Mwinyi, amesema Zanzibar imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya kiuchumi yanayolenga kuimarisha ushindani katika soko la kimataifa kwa kupanua fursa za uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imeingia katika hatua mpya ya mageuzi ya kiuchumi yanayolenga kuimarisha ushindani katika…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amekutana na Mwanazuoni na Mhamasishaji wa Dhana ya Utalii halali Duniani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na mwanazuoni na mhamasishaji wa dhana ya Utalii Halali Duniani, Bw. Ismail Bullock kutoka Dubai.…

Read More

Alhaji, Dkt, Hussein Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu Kisiwani Pemba katika Sala ya Eid El Hajj.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaji, Dkt,Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu Kisiwani Pemba katika Sala ya Eid El Hajj. Sala hiyo imesaliwa Leo…

Read More