Dkt.Mwinyi amesema umoja wa Wananchi ni nguzo ya Amani na utulivu wa Taifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa kuendelea kulinda na kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, akihimiza wananchi…
Read More







