Rais Dkt.Mwinyi amesema Amani ya nchi iendelee kudumishwa baada ya Uchaguzi Mkuu.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema nchi inaendelea kuwa katika hali ya amani…

Read More

Dkt.Mwinyi amefutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari ya…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amefutarisha Wananchi wa mkoa wa Kusini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari ya pamoja aliyowaandalia.…

Read More