Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wafanyabishara na Viongozi mbali mbali  wakati wa  hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.