Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya kumsalia Mwalimu Bi. Asha Haji Muhammad (Dada wa Sheikh Kham
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya kumsalia Mwalimu Bi. Asha Haji Muhammad (Dada wa Sheikh Khamis Abdulhamid) iliosaliwa Msikiti wa Ijumaa Shangani Mkokotoni, Mkoa wa Kaskazini Unguja.