Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,(kulia) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Balozi Ali Abeid Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi mbali mbali wakati wa mapokezi yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh.