Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) ya mwaka 2024–2025.
Ripoti hiyo imewasilishwa leo, tarehe 30 Aprili 2026, na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Zanzibar.
.jpeg)