Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kisalimiana na Mlezi mpya, wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh Ali Juma Mpwan na ameihakikishia kuend
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kisalimiana na Mlezi mpya, wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh Ali Juma Mpwan
na ameihakikishia kuendelea kupata ushirikiano wa Serikali katika kutekeleza majukumu yake ya kuimarisha malezi, maadili na elimu ya Dini ya Kiislamu katika jamii.