Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Vyuo vya Qur-an mbali mbali baada ya kumalizika kwa swala ya Ijumaa na Dua Maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Vyuo vya Qur-an mbali mbali baada ya kumalizika kwa swala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea pamoja na kuliombea Taifa, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Al-Abrar, Tazari, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo tarehe 3 Oktoba 2025.