Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya MAZOMBI katika Uwanja wa Amani wakati wa Fainali ya Kombe la Yamle yamle Cup, Mazombi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya MAZOMBI hapo Uwanja wa Amani wakati wa Fainali ya Kombe la Yamle yamle Cup, Mazombi walifungwa magoli 3 kwa 0 na timu ya Mwmbemakumbi.