Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisaini Jezi baada ya kuzungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu wa masuala ya fedha kutoka Taasisi ya Tanzania Se
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisaini Jezi baada ya kuzungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu wa masuala ya fedha kutoka Taasisi ya Tanzania Securities Limited, iliyoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Ndg. George Shumbusho, waliofika Ikulu, Zanzibar.