Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi Kombe la mashindano ya Kombe la Muungano 2026 Nahoza wa timu ya Simba Shomari Kapombe mara baada ya kui
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi Kombe la mashindano ya Kombe la Muungano 2026 Nahoza wa timu ya Simba Shomari Kapombe mara baada ya kuifunga Timu ya yanga ya Tanzania Bara iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 29 Aprili 2026.