Alhaj Dkt. Mwinyi: amezitaka Madrasa ziimarishe Elimu ya Dini, Ufahamu na maadili mema kwa Watoto

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa madrasa kuendelea kutoa elimu bora ya dini, sambamba na kuwajengea watoto uelewa wa…

Read More

Dkt Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Bw Jamal Moussa Al - Moosawi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Bw Jamal Moussa Al - Moosawi kwa Mazungumzo maalum katika…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameihakikishia Jumuiya Zawiyatul Qadiriya Tanzania kuendelea kupata ushirikiano wa Serikali katika kutekeleza majukumu yake ya kuimarisha malezi, maadili na elimu ya Kiislam

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameihakikishia Jumuiya Zawiyatul Qadiriya Tanzania kuendelea kupata ushirikiano wa Serikali katika kutekeleza…

Read More

Mke wa Rais wa ZNZ amemtembelea Mtoto wa Zuchu na Diamond.

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi, leo tarehe 03 Agosti 2026 amemtembelea na kumjulia hali…

Read More