SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imetambua rasmi uwepo wa wahudumu wa Afya jamii wanaojitolea

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imetambua rasmi uwepo wa wahudumu wa Afya jamii wanaojitolea, sasa kuwa kada rasmi inayosaidia jamii kuhudumia kwenye sekta ya afya.Sambamba na kukubali…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Jumuiya ya Fisabil llah Markaz kwa nia yao njema ya kumuombea dua na kuliombea dua taifa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Jumuiya ya Fisabil llah Markaz kwa nia yao njema ya kumuombea dua na kuliombea dua taifa. Alisema,…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imelishukuru Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa jitihada zake za kuendelea kuungamkono juhudi za serikali kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imelishukuru Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa jitihada zake za kuendelea kuungamkono juhudi za serikali kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.Rais…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Serikali ya Saudi Arabia kwa jitihada kubwa wanayoitoa Tanzania kuungamkono miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta ya Afya, maji, miundombinu ya barabara n.k

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Serikali ya Saudi Arabia kwa jitihada kubwa wanayoitoa Tanzania kuungamkono miradi mbalimbali ya maendeleo…

Read More