Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema taasisi za dini na za kiraia zina mchango mkubwa kwa Serikali hasa kwenye jukumu zima la kuendeleza amani na maendeleo nchini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema taasisi za dini na za kiraia zina mchango mkubwa kwa Serikali hasa kwenye jukumu zima la kuendeleza amani…
Read More