RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, baada ya kuizindua leo 12-9-2024, kat
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini Zanzibar, baada ya kuizindua leo 12-9-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaibu Hassan Kaduara.