Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka Zanzibar kuelekea Nchini Msumbiji kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC unaofanyika Jijini Maputo Msumbiji.