Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi funguo na cheti mwananchi ambae amenunua miongoni mwa nyumba hizo zilizojengwa na Mfuko wa Jamii wa ZSSF
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akimkabidhi funguo na cheti mwananchi ambae amenunua miongoni mwa nyumba hizo zilizojengwa na Mfuko wa Jamii wa ZSSF na kuwataka wananchi watakaoishi eneo hilo kuzitunza ili ziwe na ubora kwa miaka mingi.