Media

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 94(2) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiondoa kipazia kukifungua Kiwanda Kipya cha Kukamulia Majani Makavu ya Mkarafuu Mgelema Wilaya ya Chakechake Pemba

UFUNGUZI WA KIWANDA CHA KUSARIFU MAJANI MAKAVU YA MKARAFUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Saba ilifanya juhudi za makusudi katika kulibadilisha zao la karafuu kupitia Shirika…

Read More

Dk.Shein ameongoza mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mpendae Z’bar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Mpendae Zanzibar kupitia Chama…

Read More
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed  Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,  alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Mai

DK.SHEIN AMEMNADI MGOMBEA WA CCM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wanaCCM pamoja na wananchi wote wa Zanzibar kumchagua Dk.…

Read More
MAKAMU Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,  akizungumza na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, baada  ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni

DK.SHEIN AMEMTAMBULISHA MGOMBEA WA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ni kiongozi mwenye…

Read More

Alhaj Dk.Shein ameongoza mazishi ya Mweyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Mweyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Amani Kichama marehemu Juma Khamis…

Read More