Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya Nchi kuhakikisha wanaunga mkono kikamilifu juhudi za Serikali za kutangaza fursa ziliopo nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya Nchi kuhakikisha wanaunga mkono kikamilifu juhudi za Serikali za…

Read More

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi amesema kilimo cha zao la Mwani kina manufaa makubwa kwa Afya na Uchumi wa Wazanzibari.

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi amesema kilimo cha zao la Mwani kina manufaa makubwa kwa Afya na Uchumi wa Wazanzibari.Mama Mariamu amesema hayo…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS), kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS), kushirikiana na Serikali ya…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kuanza kushughulikia migogoro ya Ardhi inayolikabili Jeshi la Wananchi na Tanzania, hapa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kuanza kushughulikia migogoro ya Ardhi inayolikabili…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ina wagonjwa wengi wenye matatizo mbali mbali ya macho, hivyo misaada kutoka taasisi za ndani na nje ya nchi ni muhimu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ina wagonjwa wengi wenye matatizo mbali mbali ya macho, hivyo misaada kutoka taasisi za ndani na…

Read More