Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Afya kuweka maduka binafsi ya dawa kwenye hospitali zote za Umma ili kuwaondoshea wananchi changamoto ya kukosa dawa ndani hospitali za Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Afya kuweka maduka binafsi ya dawa kwenye hospitali zote za Umma ili kuwaondoshea wananchi changamoto…
Read More