Media

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni, na kuwaagiza waache kukaa Maofisini…

Read More

Rais Mwinyi amekutana na Makamu wa Rais Tanzania Nchimbi Ikulu Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyefika Ikulu…

Read More

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea Nchi Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea Nchi Amani.Alhaj Dkt.…

Read More