Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata R. Mulamula
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata R. Mulamula,alipofika Ikuli Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata R. Mulamula,alipofika Ikuli Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata R. Mulamula, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na (kulia kwake)Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Balozi. Mbarouk Nassor Mbarouk, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata R. Mulamula, alipofika Ikuli Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
Uzinduzi wa Kitabu cha Asian Aspiration Book.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni Mjini Magharibi leo kuzindua kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (kulia) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemarium Desalegn mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa kabla ya Uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (kulia) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn(hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Baadhi ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book"cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Baadhi ya Washiriki na Waalikwa katika Ufunguzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn kilichozinduliwa`leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la harakati za kutokomeza vita Dhidi ya Uzalilishaji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa upokeaji katika Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.
BAADHI ya Wageni waalikwa kutoka Taasisi mbalimbali za Kijamii wakifuatiulia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar,Tulipotoka,Tulipo na Tunakokwenda, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya na Wanasheria Wanawake Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua mfumo wa upokeaji wa taarifa sahihi za Udhalilishaji,wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Uzalilishaji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa upokeaji katika Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika Maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.( hayupo pichani) baada ya kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja, maziko yaliofanyika Kijijini kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) maziko yaliofanyika Kijiji kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) alipofika nyumbani kwa marehemu kijijini kwao Jambiani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Rashid Hadidi Rashid, wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Hassan Simai Makame, baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) yaliofanyika Kijijini kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) maziko yaliofanyika Kijiji kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa)baada ya kumalizika kwa Sala ya Jeneza iliofanyika katika Masjid Salam Jambiani Kijijini kwao Mkoa wa Kusini Unguja.
VIJANA wa Chipukizi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Marehemu Ramadhan Abdalla Ali ( Kichupa) aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja, maziko yaliofanyika Kijijini kwao Jambiani.